video

VIDEO:TAZAMA MUONEKANO WA NDINGA MPYA YA SIMBA

admin September 24, 2021 5:43 pm


HUU hapa ni muonekano wa basi jipya la Simba kwa ajili ya timu ya Wanaume ambalo litatumika msimu wa 2021/22.


 Basi hili ni moja kati ya yale matatu ambayo Simba imepewa kutoka kwa wadhamini wake Africarriers. 

 Lina siti za kutosha na kuna TV ndani, USB Cable pamoja na friji.

 

HESABU ZA YANGA ZIMEFUNGWA JUMLA NA MABOSI WA SIMBA NAMNA HII DUH: KOCHA ASEMA ARSENAL UEFA ITASUBIRI MIAKA KAMA MINNE HIVI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply