Home Azam FC ORODHA YA KIKOSI CHA AZAM FC KITAKACHOIBUKIA TANGA

ORODHA YA KIKOSI CHA AZAM FC KITAKACHOIBUKIA TANGA

 


KIKOSI cha Azam FC, kilichosafiri leo Jumamosi alfajiri kwa ajili ya mechi mbili za ufunguzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) dhidi ya Coastal Union na Polisi Tanzania.

Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa Septemba 27, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.


SOMA NA HII  BAADA YA KUUWASHA MOTO MORROCO...JINA LA OPAH LATUA RASMI CAF...HISTORIA YAWEKWA...