Home video AUCHO:NIMEKUJA YANGA KWA AJILI YA USHINDANI

AUCHO:NIMEKUJA YANGA KWA AJILI YA USHINDANI

KHALID Aucho kiungo wa Yanga amesema kuwa ameibuka ndani ya Yanga kwa ajili ya kufanya ushindani na kushinda kwao Ngao ya Jamii ni furaha hivyo baada ya kazi kuisha wanapelekea nguvu kubwa kwenye ligi.

 

SOMA NA HII  VIDEO:SIMBA KUMALIZA HASIRA ZAO MBELE YA KMC,DJUMA KIMEELEWEKA YANGA