kimataifa

KLOPP ATAJA KILICHOWAFANYA WAKAGAWANA POINTI MBELE YA BRENTFORD

admin September 27, 2021 6:43 am


JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa wapinzani wao Brentford walistahili kupata pointi katika mchezo wao walipokutana kwenye Ligi Kuu England. 

Liverpool ililazimisha sare ya kufungana mabao 3-3 dhidi ya Brentford katika mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa juzi.

Klopp amesema kuwa timu yake ilicheza vizuri ila ilikutana na timu ambayo ilicheza vizuri sana.

“Timu yangu ilikwama kutokana na mipira mirefu iliyokuwa inapigwa na wapinzani lakini haina maana kwamba hatukufanya vizuri.

“Jambo pekee ambalo lilituangusha ni kuwania mipira iliyokufa jambo lililofanya tukapa matokeo haya na wapinzani wetu wanastahili kupata ambacho walikipata,” .

HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BARA BONGO SIMBA KUIBUKIA KWA WANAJESHI WA MPAKANI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply