Home video EXCLUSIVE:KMC YAZIWEKA KANDO SIMBA V YANGA, HESABU ZAKE HIZI HAPA

EXCLUSIVE:KMC YAZIWEKA KANDO SIMBA V YANGA, HESABU ZAKE HIZI HAPA

CHRISTINA Mwagala, Ofisa Habari wa KMC ameweka wazi kuwa kwa sasa timu hiyo haina hesabu za kufikiria mechi za Dabi zitakazowakutanisha dhidi ya Simba,Yanga na Azam FC badala yake nguvu kubwa ni kwenye mechi zote za ligi.


 Christina amesema kuwa wana imani kubwa na kikosi ambacho wamekisajili jambo ambalo linawapa matumaini ya kufanya vizuri.

 

SOMA NA HII  VIDEO: KUHUSU CARLINOS KWENDA SIMBA, MANARA AJIBU