Home video HAJI MANARA ATAMBA KINOMA KISA NDEGE

HAJI MANARA ATAMBA KINOMA KISA NDEGE

HAJI Manara atamba juu ya uwezo wa ndege ambayo wanaitumia na namna ambavyo itawasubiri watakapomaliza mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Rivers United. Yanga kwa sasa ipo nchini Nigeria na wametamba kuwa wao walianza mapema kabla ya wengine.

 

SOMA NA HII  EXCLUSIVE:JESHI KAMILI LA RUVU SHOOTING 2021/22, MASAU APIGA MKWARA