Home video KICHUYA: SIMBA ILISTAHILI KUTWAA UBINGWA

KICHUYA: SIMBA ILISTAHILI KUTWAA UBINGWA

KIUNGO wa Namungo FC, Shiza Kichuya amesema kuwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara Simba walistahili kutwaa taji hilo kwa kuwa walijipanga na amebainisha kuwa kupoteza mchezo wao uliopita walipokutana na Simba, Uwanja wa Majaliwa Lindi kulimuumiza kwa kuwa alikuwa anaamini kwamba wanaweza kushinda.

 

SOMA NA HII  VIDEO:MOHAMED HUSSEIN AUGA UKAPERA, AFUNGA NDOA