Home news HUU HAPA MUONEKANO WA UZI MPYA WA SIMBA, SABABU YA KUWA DUKANI...

HUU HAPA MUONEKANO WA UZI MPYA WA SIMBA, SABABU YA KUWA DUKANI MAPEMA KABLA YA UZINDUZI

 “TULIHEMEWA na maombi ya mashabiki ambao walikuwa wanataka jezi mpya,” Ezekiel Kamwaga,  Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa ni sababu ya wao kuiruhusu jezi hiyo kuwa dukani mapema tangu jana Septemba 3 kabla ya uzinduzi wa jezi hiyo unaotarajiwa kufanyika leo Septemba 4.

Huu hapa ni muonekano wa jezi hiyo pia wamezindua na jezi ya akina dada.




SOMA NA HII  WAKATI YANGA WAKIALIKWA MALAWI...BURUNDI WAIPA SHAVU NAMUNGO...