Home video ISHU YA NUGAZ KURUDI YANGA IPO HIVI, MANARA HANA TATIZO NAYE

ISHU YA NUGAZ KURUDI YANGA IPO HIVI, MANARA HANA TATIZO NAYE


HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amebainisha kuwa hana tatizo na kufanya kazi na mtu yoyote ndani ya Yanga ila jambo kubwa liwe kwa ajili ya maslahi ya Yanga.


 Ameweka wazi kuwa alikuwa anapenda kufanya kazi na kila mtu aliyemkuta ndani ya Yanga hivyo hahusiki na kuondoka kwa mtu ikiwa ni pamoja na Antonio Nugaz ambaye alikuwa ni Ofisa Uhamasishaji kabla ya mkataba wake kuisha na ulipoisha hakuongezewa dili jipya.

 Manara amesema kuwa yupo tayari kufanya kazi na mtu yoyote hana tatizo. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: MAKAMBO ATUA DAR KIBABE, AMEAHIDI MAKUBWA, MAYELE KAZI IMEANZA