Home Habari za michezo MERIDIANBET KASINO YASHUSHA PROMOSHENI MPYA YA CASH DAYS TSH MIL 200 ZINAKUSUBIRI….

MERIDIANBET KASINO YASHUSHA PROMOSHENI MPYA YA CASH DAYS TSH MIL 200 ZINAKUSUBIRI….

Meridianbet

Jiandae kwa mshangao wa kustaajabisha Meridianbet kasino ya mtandaoni wiki hii, una siku 5 tu za kujichukulia maokoto kuanzia leo. Jiunge na promosheni ya Cash Days na shinda zawadi za pesa kibao kiwango cha Tsh Milioni Mia Mbili (200,000,000/= TZS).

Mwezi Mei ni mwezi wa wafanyakazi, Kubeti na kucheza kasino ya mtandaoni nayo ni kazi kama kazi nyingine, Meridianbet imeandaa zawadi nzuri kwa wachezaji wote. Ikiwa wewe ni shabiki wa michezo ya sloti, na kasino ya mtandaoni tunakualika kujumuika na michezo ya Playson na kuwa sehemu ya promosheni ya Cash Days!

Promosheni hii imeanza tarehe 1 hadi tarehe 8 Mei, ikiwa na zawadi yenye thamani ya 200,000,000/=TZS Cheza angalau angalau mzunguko mmoja kwa dau la chini la kuanzia Tsh 500/= au zaidi ili kuingia moja kwa moja kwenye mashindano.

Kila ushindi unachangia kufanikiwa kwako kwa jumla. Kila unapopata ushindi unaouzidi €1, unapata pointi zinazokusukuma kwenye jedwali la wachezaji bora.

Jumla ya zawadi zitagawiwa kwa wachezaji 201! Na ikiwa utakuwa bingwa wa Cash Days, utajishindia zawadi kubwa ya Tsh 25,000,000/=

Michezo inayoshiriki kwenye promosheni ni:

  • 3 Magic Lamps: Hold and Win
  • 3 Pots Riches Extra: Hold and Win
  • Arizona Heist: Hold and Win
  • Book of Gold: Multichance
  • Buffalo Power 2: Hold and Win
  • Buffalo Power: Hold and Win
  • Burning Fortuneteller
  • Burning Wins: classic 5 lines
  • Coin Strike: Hold and Win
  • Crown and Diamonds: Hold and Win
  • Crystal Land 2
  • Diamonds Power: Hold and Win
  • Energy Joker: Hold and Win
  • Energy Coins: Hold and Win
  • Fire Coins: Hold and Win
  • Fire Temple: Hold and Win
  • Jelly Valley
  • Legend of Cleopatra Megaways™
  • Lion Gems: Hold and Win
  • Luxor Gold: Hold and Win
  • Pirate Chest: Hold and Win
  • Royal Coins 2: Hold and Win
  • Royal Fortunator: Hold and Win
  • Royal Joker: Hold and Win
  • Sherwood Coins: Hold and Win
  • Solar Queen
  • Sunny Fruits 2: Hold and Win
  • Clover Charm: Hit the Bonus™
  • Thunder Coins: Hold and Win
  • Je, uko tayari kwa promosheni bora ya kasino ya mtandaoni itakayokufanya ujipatie mamilioni? Jiunge na Meridianbet njia rahisi ya mafanikio.
SOMA NA HII  KUELEKEA MECHI NA WASAUZI....SIMBA WAPIGA MARUFUKU 'VITOCHI VYA KIJANI'...WAIOGOPA CAF....

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz