Home Habari za michezo AHMED ALLY AGEUKA MBOGO ATEMA CHECHE HIZI KIBABE…AMEFUNGUKA HAYA

AHMED ALLY AGEUKA MBOGO ATEMA CHECHE HIZI KIBABE…AMEFUNGUKA HAYA

Habari za Simba leo

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema, hakuna mcahezaji wanayemtaka abaki kwenye klabu yao ambaye watashindwa kumbakisha.

Kauli hiyo imekuja ikiwa ni baada ya tetesi za Kibu Denis kudaiwa kutaka kuondoka klabuni hapo.

“Katika dirisha hili la usajili tunaemtaka atabaki Simba lengo ni kutengeneza Simba tishio turudi kwenye Ufalme wetu,” alisema Ahmed.

SOMA NA HII  GAMONDI ATAMBA SIO MTU MMOJA MMOJA NI KIKOSI KIZIMA ETI......ISHU IKO HIVI