Home Meridianbet MERIDIANBET YAISHIKA MKONO SINZA STAR FC….

MERIDIANBET YAISHIKA MKONO SINZA STAR FC….

Meridianbet

Ikiwa leo ni Jumamosi ya Tarehe 21 Oktoba, Meridianbet imeendelea kuonyesha moyo wake wa kujitoa kwa jamii kwa kuipatia timu ya Sinza Star FC msaada wa mipira, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kampuni hiyo kusaidia maendeleo ya michezo na kukuza vipaji vya soka nchini. Msaada huo unalenga kuboresha mazingira ya mazoezi kwa wachezaji na kuhamasisha vijana kushiriki katika michezo.

Wakati wa hafla ya kukabidhi msaada huo, mwakilishi wa Meridianbet alisema, “Tunayo furaha kuwashika mkono Sinza Star FC kwa kuwapatia msaada huu wa mipira. Meridianbet inatambua mchango wa michezo katika maendeleo ya jamii, na tunaamini kwamba mipira hii itawawezesha wachezaji wa Sinza Star FC kuongeza ari na bidii kwenye mazoezi na mashindano.”

Sinza Star FC walisema kuwa wanaishukuru sana Meridianbet kwa kuwaunga mkono. Msaada huo wa mipira utawasaidia sana katika mazoezi yetu na kuongeza morali miongoni mwa wachezaji. Wanajivunia kuona kuwa jitihada zao za kukuza vipaji zinatambulika na kuungwa mkono na wadau kama Meridianbet.

Leo hii mechi kibao za mataifa zinaendelea ingia Meridianbet na usuke jamvi lako kuanzia mechi za hapa Afrika, mpaka kule Ulaya. Pesa ipo mkononi kwako leo usisubiri kuahidithiwa na mtu. Jisajili hapa.

Sinza Star FC ni timu inayowakilisha vijana wenye vipaji kutoka mtaa wa Sinza na maeneo ya jirani, ikilenga kuwawezesha vijana kutumia muda wao vizuri na kujiepusha na vitendo hatarishi. Timu hiyo imekuwa ikishiriki mashindano ya soka ya mtaani na inajivunia historia yake ya kuwa chachu ya kuibua vipaji vya wachezaji chipukizi.

Meridianbet imejizolea sifa kwa kujitolea kusaidia maendeleo ya michezo nchini Tanzania kwa njia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kutoa vifaa vya michezo na kufadhili timu za vijana. Kampuni hiyo inatumaini kuwa kupitia uwekezaji kama huu, vijana wengi wataweza kufikia malengo yao ya michezo na kuwa na mchango chanya katika jamii.

Ukiachana na zoezi la ugawaji wa mipira hiyo kumbuka pia kubashiri mechi za leo za mataifa zinazoendelea. ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Vilevile Sinza Star FC imepata nguvu mpya ya kuendelea na safari yake ya kukuza vipaji na kuwa mfano wa kuigwa kwa timu nyingine za mtaani. Meridianbet itaendelea kuunga mkono shughuli za kijamii ili kuleta mabadiliko chanya kupitia michezo.

SOMA NA HII  KUSANYA BASHIRI ZA BURE UKICHEZA AVIATOR YA MERIDIANBET.