Home Habari za michezo KUSANYA BASHIRI ZA BURE UKICHEZA AVIATOR YA MERIDIANBET.

KUSANYA BASHIRI ZA BURE UKICHEZA AVIATOR YA MERIDIANBET.

Meridianbet

Kuna raha Fulani hivi pale ambapo unakuwa rubani wa maisha yako, na kila mtu ana uwezo wa kuwa rubani wa maisha, kutoka kasino ya mtandaoni ya Meridianbet mchezo pendwa wa Aviator unakuja na promosheni ya kifalme mwezi huu wa Juni.

Kila ukirusha ndege ya Aviator unajiweka kwenye nafasi ya kupata bonasi ya Mvua za bure za kuendelea kurusha ndege ya Aviator na kuusaka ushindi mkubwa.

Promosheni hii inapatikana kwa kucheza mchezo wa aviator kutoka kasino ya mtandaoni, huku ukiweka dau lako utakalo, kumbuka ushindi mkubwa unategemea ukubwa wa dau uliloweka.

Namna ya Kupata Bashiri za Bure za Aviator

Promosheni “Bashiri za Bure na Aviator Bonanza, 20.06.2023 hadi 30.06.2023. na inapatikana kwa wateja wote wa Meridianbet.

Wakati wa promosheni hii, wachezaji wa kasino ya mtandaoni kwenye mchezo wa Aviator watapewa zawadi ya BASHIRI ZA BURE mara 20 kwa siku kwa wateja 25 wenye kasi zaidi ya kurusha ndege ya Aviator kila muda kwa kubofya kitufe cha TUMIA utapatiwa bashiri za bure zenye thamani ya shilingi 500.

Kwa kufungua sehemu ya ‘Andika Ujumbe’ ndani ya mchezo wa Aviator kasino ya mtandaoni, bofya alama upande wa juu kulia na, tegemea mvua ya bashiri za bure. Baada ya mteja kutumia bashiri za bure, kwenye sehemu ya orodha ya mchezo wa Aviator, atapaswa kubofya sehemu ya “BASHIRI ZA BURE” na kuchagua bashiri ya bure kama dau.

Ushindi wa odds ya 1.95 na kuendelea ndio unaweza kuwekwa kwenye akaunti ya pesa halisi. MVUA ya BASHIRI ZA BURE itashuka bila mpangalio, mara 20 kwa siku wakati wote wa promosheni ya kasino ya mtandaoni, kila mvua itanyesha kwa dakika 10.

Mara baada ya bashiri ya bure kutumika, mteja atakua na takribani dakika 10 za kuitumia bashiri ya bure kucheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni, Ikitokea bashiri ya bure haijatumika, mteja hatoweza kuitumia tena.

N.B: Mbali na Mchezo wa Aviator, Meridianbet wanakupa zawadi ya mizunguko ya bure kucheza kwenye kasino ya mtandaoni kwa mteja mpya baada ya kujisajili.

SOMA NA HII  SIMBA MAJANGA, INONGA NAE ASEPA ISHU IKO HIVI