Home video MZEE DALALI:HANSPOPE NI PENGO KUBWA,MANARA HAYUPO SIMBA

MZEE DALALI:HANSPOPE NI PENGO KUBWA,MANARA HAYUPO SIMBA

MZEE Dalali amesema kuwa Zakaria Hanspope ambaye alikuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba alikuwa na mchango mkubwa hivyo kutangulia kwake mbele za haki ni pigo kubwa kwa Simba.


Ameweka wazi kuwa hakuwa na mkono wa birika kwa kuwa amesaidia timu nyingi ikiwa ni pamoja na Lipuli ya Iringa.

 

SOMA NA HII  VIDEO: AZAM FC YATOA TAMKO KUHUSU BAO WALILOFUNGWA NA SIMBA