Home news RATIBA YA KUAGA MWILI WA HANSPOPE

RATIBA YA KUAGA MWILI WA HANSPOPE


RATIBA ya kuaga mwili wa marehemu Zacharia Hans Poppe kilichotokea Septemba 10.

Poppe alikuwa ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Klabu ya Simba enzi za uhai wake na alikuwa shabiki wa timu ya taifa ya Tanzania. 

Pumzika kwa amani mwanamichezo.


SOMA NA HII  DILI LA MAZNOKI LAFIKIA PATAMU SIMBA....MGUNDA AKABIDHI MAJINA YA VIFAA VIPYAA...