Home video SHABIKI WA YANGA ANAAMINI KWAMBA SIMBA INAFUNGWA NA BIASHARA UNITED LEO

SHABIKI WA YANGA ANAAMINI KWAMBA SIMBA INAFUNGWA NA BIASHARA UNITED LEO

MASHABIKI wa mpira kutoka Mara nao wanaifuatilia kwa ukaribu mechi ya leo Septemba 28 kati ya Biashara United v Simba ambapo shabiki mmoja wa Yanga ameweka wazi kwamba Simba inapoteza kwa kufungwa leo Uwanja wa Karume.

 

SOMA NA HII  VIDEO: SHABIKI SIMBA ANAVYOIPENDA SIMBA HUKU YULE WA YANGA AKIWEKA WAZI KWAMBA WANASHINDA