KABLA ya kuingia Uwanja wa Mkapa kucheza kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali leo Septemba 12 Klabu ya Rivers United ya Nigeria iligoma kuingia vyumba vya kubadilishia nguo.