video

VIDEO:KOCHA WA MADAGSCAR ATAJA SABABU YA KUPOTEZA,MIPANGO YAO

admin September 8, 2021 3:43 am

KOCHA wa timu ya taifa ya Madagascar amesema kuwa walifanya makosa kwenye mchezo huo jambo lililowagharimu na kuwafanya wapoteze kwa kufungwa mabao 3-2 dhidi ya Tanzania katika mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia uliochezwa Uwanja wa Mkapa na ameweka wazi kuwa wachezaji wa Stars walikuwa bora na walicheza mchezo wa kujilinda zaidi.

 

KAPOMBE:MASHABIKI WANA UMUHIMU,MAKOSA TULIYOFANYA YALITUGHARIMU VIDEO:FEISAL ATAJA WALICHOAMBIWA NA MWALIMU, ATOA SHUKRANI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply