video

VIDEO:FEISAL ATAJA WALICHOAMBIWA NA MWALIMU, ATOA SHUKRANI

admin September 8, 2021 3:43 am


FEISAL Salum, nyota wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambaye jana Septemba 7 alikuwa miongoni mwa mashujaa walioipeperusha bendera ya Tanzania kwa kupata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Madagascar amesema kuwa yote hayo ni maelekezo ya mwalimu na wanamshukuru Mungu kwa kuwa wamepata ushindi.


Ni bao la ushindi lilitoka kwenye mguu wake dakika ya 52 akimalizia kazi murua kutoka kwenye miguu ya nahodha Mbwana Samatta.

 

VIDEO:KOCHA WA MADAGSCAR ATAJA SABABU YA KUPOTEZA,MIPANGO YAO CHEKI UZI MPYA WA AZAM FC MSIMU WA 2021/22

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply