Home news VIDEO:NAMNA MASTAA WA SIMBA WALIVYOSEPA KUELEKEA ARUSHA, MORRISON NDANI

VIDEO:NAMNA MASTAA WA SIMBA WALIVYOSEPA KUELEKEA ARUSHA, MORRISON NDANI


KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes leo Septemba 5, kimekwea pipa kuelekea Arusha kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2021/22 unaotarajiwa kuanza rasmi Septemba 25.


 Septemba 25 kutakuwa na mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba v Yanga, Uwanja wa Mkapa na Septemba 19 itakuwa ni Simba Day ambapo wanatarajia kucheza mchezo wa kirafiki na moja ya timu ambayo imeshinda mataji zaidi ya matatu ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Simba, Ezekiel Kamwaga.

 Miongoni mwa mastaa ambao wamekwea pipa ni pamoja na Chris Mugalu, Ibrahim Ajibu, Henock, Bernard Morrison, Joash Onyango.

 

SOMA NA HII  WAKATI MASHABIKI WAKIWA NA SHAKA NA KIWANGO CHA SIMBA JANA....KOCHA WA ST GEORGE AIBUKA NA HAYA MAPYA...