news

YANGA WAMEAMUA, CHEKI NDEGE WATAKAYOPANDA KUWAFUATA RIVERS UNITED, NIGERIA

admin September 15, 2021 10:43 am

 KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kinatarajiwa kuwafuata wapinzani wao Rivers Nigeria, Ijumaa Septemba 18 kwa ndege ya kukodi ambayo ni Air Tanzania.

Wanakwenda kucheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa ni mchezo wa marudio baada ya ule wa awali Uwanja wa Mkapa kusoma Yanga 0-1 Rivers United. 

Ni Air Bus watatumia Wananchi na itawasubiri mpaka watakapomaliza mchezo. Hizi hapa picha ya ndege hiyo:-








KIDUKU ATAJA CHANZO CHA JINA LAKE,YEYE SHOWSHOW NJOMBE WAPIGA HESABU ZA KURUDI LIGI KUU BARA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply