video

SHABIKI WA SIMBA AWATISHA DODOMA JIJI

admin October 1, 2021 12:43 pm

SHABIKI wa Simba kutoka Dodoma ameweka wazi kuwa watarudi Dar kwa ushindi mzuri mbele ya Dodoma Jiji kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao unatarajiwa kuchezwa leo Oktoba Mosi saa 10:00 jioni.


Pia ametoa rai kwa mashabiki wa Simba kuwa waendelee kuipenda timu yao licha ya kuanza vibaya itamaliza vizuri.

 

KAPOMBE KUIKOSA DODOMA JIJI LEO JAMHURI SIMBA WANAAMINI LEO WATASEPA NA USHINDI MBELE YA DODOMA JIJI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply