video

SIMBA WANAAMINI LEO WATASEPA NA USHINDI MBELE YA DODOMA JIJI

admin October 1, 2021 12:43 pm

SHABIKI wa Simba ameweka wazi kuwa matokeo ambayo wanayapata kwenye mechi zao za hivi karibuni ni kawaida ila uhakika wao ni mkubwa leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji.


 Simba inashuka Uwanja wa Jamhuri Dodoma ikiwa inakumbuka kwamba imetoka kulazimisha sare ya bila kufungana na Biashara United ya Mara Uwanja wa Karume.

 

SHABIKI WA SIMBA AWATISHA DODOMA JIJI UJANJA WA YANGA UPO HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply