Home video K MZIWANDA, SIMBA TUMEANZA LIGI

K MZIWANDA, SIMBA TUMEANZA LIGI

BAADA ya kupata pointi tatu mbele ya Dodoma Jiji, shabiki wa Simba K Mziwanda amebainisha kuwa wamekipata ambacho walikuwa wanahitaji na tayari ligi wameianza.

 

SOMA NA HII  VIDEO: HAJI MANARA AWASHURUKU SIMBA, ATAJA SABABU YA KUBWAGA MANYANGA, CHUKI NA ISHU YA HUJUMA