video

MINZIRO ATAJA SABABU YA GEITA GOLD KUFUNGWA NA YANGA

admin October 2, 2021 8:43 pm

FRED Felix Minziro, Kocha Msaidizi wa Geita Gold amesema kuwa kilichowafanya leo wakashindwa kupata ushindi mbele ya Yanga ni kukosa utulivu kwa wachezaji wake kwa kuwa walikuwa wanatengeneza nafasi ila wameshindwa kuzitumia.


 Geita Gold ikiwa Uwanja wa Mkapa leo Oktoba 2 imepoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Yanga na bao lilipachikwa na Jesus Moloko unakuwa ni mchezo wa pili kwa timu hiyo kupoteza kwa kuwa ule wa awali ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya Namungo.

 

KOCHA DTB ANAAMINI KWAMBA TAMBWE ATAKUWA MFUNGAJI BORA KOCHA YANGA ABAINISHA KUWA WALISTAHILI KUFUNGA MABAO MENGI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply