video

KOCHA YANGA ABAINISHA KUWA WALISTAHILI KUFUNGA MABAO MENGI

admin October 2, 2021 9:43 pm


BAADA ya kupata ushindi leo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara mbele ya Geita Gold, Nasreddine Nabi Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa watafanyia kazi tatizo la safu ya ushambuliaji kwa kuwa leo licha ya kushinda bao 1-0 ilipaswa kufunga mabao mengi. 


 Aidha ameweka wazi kuwa kwa sasa ligi ipo mwanzo mabadiliko yatakuwa yanaonekana taratibu huku akiamini kwamba kambi ya Arusha itawafanya waweze kuwa imara zaidi kwa kuwa watakaa pamoja muda mrefu.

 

MINZIRO ATAJA SABABU YA GEITA GOLD KUFUNGWA NA YANGA AZAM FC YAKAMATWA NA POLISI TANZANIA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply