video

KOCHA TWIGA STARS AWAZUNGUZMIA WAPINZANI WAKE

admin October 6, 2021 10:43 am

BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Wanawake, ‘Twiga Stars’ amesema kuwa baada ya timu hiyo kupangiwa kucheza na timu ya taifa ya Zambia wamejipanga vizuri na wanaamini kwamba utakuwa ni mchezo mgumu.


 Mchezo huo ni wa Hatua ya Nusu Fainali mashindano ya COSAFA yanayofanyika Port Elizabeth,Afrika Kusini.

 

ILIBIDI MATAIFA MATATU YAUNGANE KUPATA USHINDI SIMBA DUH ETI BARCELONA HATA IKICHEZA MASAA MATATU HAIWEZI KUFUNGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply