Azam FC

BASI LA AZAM FC NDANI YA ARDHI YA DAR ES SALAAM

admin October 11, 2021 12:43 pm

 BASI la Azam FC ndani ya ardhi ya Dar es Salaam wanaita Ndege ya Taifa ya ardhini, Mercedes Benz Irizar i6S Plus, kwa sasa ipo ndani ya jiji la Dar es Salaam.

Wakati ndinga hiyo ya Azam FC ikiwa njiani kuja jijini Dar es Salaam, ilipata bahati ya kukutana na shabiki mkubwa wa Azam FC na mfanyabiashara maarufu wa Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania, Frederick Kyando.


YANGA YAFUNGUKIA ISHU YA UBINGWA WA SIMBA BAADA YA KUPIGWA MPAKA KUTEMA ‘UDENDA’…DULLAH MBABE ATANGAZA KUPUMZIKA NGUMI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply