video

KIPA ALIYETUNGULIWA NA MAYELE ATAJA SABABU ZA KUFUNGWA

admin October 11, 2021 7:43 am

KIPA wa JKU SC ambaye alifungwa bao 1-0 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Yanga ameweka wazi kuwa kupotezwa kwao mbele ya wapinzani hao haikuwa malengo yao ila walikutana na timu ambayo ipo vizuri huku akimtaja mshambuliaji Fiston Mayele kuwa mmoja ya wachezaji ambao walikuwa bora Uwanja wa Mkapa Oktoba 10. 

 

KILICHO NYUMA YA KUSIMAMISHWA KWA NYOTA WATATU AZAM FC HIKI HAPA MASHABIKI KUTOKA ULAYA WATAJA SABABU YA KUIPENDA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply