Home video MASHABIKI KUTOKA ULAYA WATAJA SABABU YA KUIPENDA YANGA

MASHABIKI KUTOKA ULAYA WATAJA SABABU YA KUIPENDA YANGA

MASHABIKI wa Yanga kutoka Ulaya ambao walikuwa Uwanja wa Mkapa Oktoba 10 wakati Yanga ikishinda bao 1-0 mbele ya JKU SC wamebainisha sababu za kuipenda timu hiyo, ni mmoja kutoka Denmark ambaye aliweka wazi kuwa anaipenda Yanga na mchezaji ambaye anamtambua ni Farid, (Mussa) huku kwa upande wa Simba ikiwa hakuna mchezaji ambaye anamtambua, mwingine alikuwa anatoka Marekani ambaye aliweka wazi kwamba anaipenda Yanga.

 

SOMA NA HII  BIG AWATAKA SIMBA WAWE WAVUMILIVU