Burudani

MWAKINYO AINGIA ANGA NYINGINE KIMATAIFA

admin October 11, 2021 8:43 am


BONDIA wa Kimataifa kutoka Tanzania, Hassan Mwakinyo (26) mwenye uzani wa Super Welter amepanda kutoka nafasi ya 14 hadi nafasi ya 10 katika viwango vya ubora Duniani kwenye orodha ya mabondia wenye uzani huo.

 Mwakinyo sasa amekuwa wa 10 kati ya mabondia 1,532 duniani ikiwa ni mwezi mmoja baada ya kumtwanga Bondia wa Kimatifa kutoka nchini Namibia, Julius Munyelele Indongo.


TAZAMA NAMNA KOCHA MKUU WA SIMBA ALIVYOKAGUA UWANJA YANGA YAFUNGUKIA ISHU YA UBINGWA WA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply