video
YANGA:TIMU KUBWA HAZISHINDI MABAO MENGI
SHABIKI wa Yanga ameweka wazi kuwa ushindi wa bao 1-0 mbele ya JKU SC ni sawa kwa kuwa timu kubwa hazishindi mabao mengi, amebainisha kwamba kwa namna ambavyo kikosi kipo imani yao ni kuweza kufanya vizuri katika mechi zao zijazo kwenye mashindano.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.