BIashara United

BIASHARA UNITED YAWAVUTIA KASI AL AHLY TRIPOLI

admin October 13, 2021 2:44 pm


WANAJESHI wa mpakani, Biashara United,  leo Oktoba 13 imeendelea kuwavutia kasi wapinzani wao katika mchezo wa Kombe la Shirikisho unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.

Itakuwa ni Oktoba 15 Ijumaa dhidi ya Al Ahly Tripoli ya Libya na ule wa marudio unatarajiwa kuchezwa nchini Libya.

Wachezaji wote wapo tayari kwa ajili ya mchezo huo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Biashara United,  Seleman Mataso amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya kupata matokeo chanya.

BAADA YA KUKOSA MECHI MBILI ZA LIGI KUU..KANOTE AIBUKA NA HAYA…ATAJA VIWANJA MBINU ZA WABOTSWANA MIKONONI MWA GOMES

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply