news

MO DEWJI AIAMBIA DUNIA KUHUSU SIMBA..ADAI ANAPOTEZA PESA NYINGI NA KUPATA HASARA

admin October 15, 2021 5:00 pm


MFANYABIASHARA maarufu Tanzania na Afrika kwa ujumla ambaye pia ni mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohamed Dewji ‘Mo Dewji’ akihojiwa na Shirika la Utangazaji la CCN nchini Marekani  amesema amewekeza kwenye klabu ya (10) kwa ubora Barani Afrika na ina mashabiki  milioni 40.

Amesema pesa zake zinapotea kwani hapati faida, mpaka sasa ametumia zaidi ya dola za Kimarekani milioni 20 bila kupata faida, lakini amewekeza kutokana na mapenzi tu, lakini klabu hiyo haimuingizii faida yeyote.

“Simba SC ina miaka 85, ina mashabiki 40m, ndani ya miaka 4 nimewekeza dola milioni 20 ili iwe miongoni mwa klabu 10 bora Afrika. Tuna malengo makubwa. Hakuna biashara ila napoteza hela nyingi. Nafanya haya kwa mapenzi yangu sababu naipenda sana Simba,” amesema Mo Dewji.

Chanzo- Globalpublishers.co.tz

KUELEKEA MECHI DHIDI YA WABOTSWANA..KANOUTE, MKUDE WAPIGWA MARUFUKU SIMBA..CHANZO NI PASI MGANGA WA KIENYEJI GHANA AFICHUA JINSI ALIVYOMPOTEZA MICHAEL ESSIEN KISA NYUMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply