kimataifa

MGANGA WA KIENYEJI GHANA AFICHUA JINSI ALIVYOMPOTEZA MICHAEL ESSIEN KISA NYUMBA

admin October 15, 2021 6:00 pm


Mganga wa jadi nchini Ghana ameibuka na kudai kwamba yeye ndio alisababisha mchezaji wa zamani wa @ChelseaFC, @MichaelEssien kushuka kiwango.

Mganga huyo wakati anafanya interview na mtangazaji Arnold Mensah Elavanyo katika kipindi cha Vibes in 5, alisema kwamba alishusha kiwango cha Essien baada ya kushindwa kutimiza ahadi zake ikiwemo ya kumnunulia nyumba katika mji wa Accra.

“Nimewatengeneza wachezaji 50 wa Ghana, na wengine bado wanacheza mpaka leo barani Ulaya. Essien alinipa ahadi ya kuninunulia nyumba katika mji mkuu wa Accra endapo nikimsaidia. Baada ya kufanikiwa akajisahau na mimi nikachukua maamuzi ya kumpoteza kabsa.”

Essien anatwaja kuwa moja kati ya wachezaji bora kuwahi kutokea barani Afrika, amecheza katika club kubwa kama Chelsea, Real Madrid na Ac Milan.

MO DEWJI AIAMBIA DUNIA KUHUSU SIMBA..ADAI ANAPOTEZA PESA NYINGI NA KUPATA HASARA PAMOJA NA KUSAJILIWA KWA BEI MBAYA…MIQUISSONE AACHWA AL AHLY….MOSIMANE AMCHINJIA BAHARINI MAZIMA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply