news

PAMOJA NA KUSAJILIWA KWA BEI MBAYA…MIQUISSONE AACHWA AL AHLY….MOSIMANE AMCHINJIA BAHARINI MAZIMA

admin October 15, 2021 7:00 pm


Kocha wa Mabingwa Afrika, Al Ahly, Pitso Mosimane ametaja kikosi chake kitakachosafiri kuelekea Niger kwa ajili ya mchezo wa klabu bingwa dhidi ya USGN.

Katika kikosi hicho Pitso Mosimane amewaacha nyota wawili aliowasajili msimu huu, Luis Miquissone aliyesajiliwa kutoka Simba SC ya Tanzania na Percy Tau aliyesajiliwa kutoka Brighton and Albion ya England.

Kikosi kamili kinachosafiri;

Magolikipa: Lofty, Sobier na Hamza

Mabeki: Rabia, Yasser, Benoun, Ayman, Hany na Maalsoul

Viungo: Akram, Dieng, Hamad, El soulia na Koka

Washambuliaji: Kahraba, Walid, Mohamed Mahmoud, Taher na Sherif.

MGANGA WA KIENYEJI GHANA AFICHUA JINSI ALIVYOMPOTEZA MICHAEL ESSIEN KISA NYUMBA KWA UMAFIA HUU WA SIMBA..HAO WABOTSWANA WANAKUFA MAPEMA TU..CORONA YAHUSISHWA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply