News

BAADA YA KUTOSWA KWENYE TUZO ZA TFF…MORISSON AIBUKA NA TUZO YAKE BINAFSI…ATAMBA NAYO BALAAH

admin October 23, 2021 5:58 am


Wakati wachezaji John Bocco, Aishi Manula, Mohammed Hussein na Fei Toto kuondoka na tuzo za TFF usiku wa jana, Benard Morrison anasema aliambulia kurudi na chupa ya maji nyumbani.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram mchezaji huyo asiyeishiwa na vituko ameandika kuwa tuzo pekee aliyoshinda ni nguo bora ya ndani ya msimu.

“Kwa hivyo jana usiku wengine walipokwenda nyumbani na tuzo, mimi nilikwenda nyumbani na chupa ya maji, lazima nikuambie kabla ya kuanza kusema nimeshinda nguo bora ya ndani ya msimu, kila mtu alistahili hongera kwa wote”.

SIMBA SC YAPIGA HESABU ZA MABILIONI YA CAF…SUTI YA FEI TOTO YAZUA GUMZO…. WAKATI MECHI YAO DHIDI YA WALIBYA NI LEO..BIASHARA UNITED BADO WAPO TZ…TFF YATUMA BARUA CAF..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply