BIashara United

WAKATI MECHI YAO DHIDI YA WALIBYA NI LEO..BIASHARA UNITED BADO WAPO TZ…TFF YATUMA BARUA CAF..

admin October 23, 2021 7:30 am

TFF imeliomba Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kusogeza mbele mchezo wa kati ya Al Ahly Tripoli ya Libya dhidi ya Biashara United ya Tanzania hadi Oktoba 27, 2021. TFF imesema licha ya kupatikana ndege ya kukodi safari imeshindikana kwa sababu ya kukosekana vibali vya anga.

Biashara United ya Tanzania hadi sasa haijasafiri kwenda Libya kwenye mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahly Tripoli, kutokana na changamoto za usafiri wa anga. Mchezo huo umepangwa kuchezwa leo saa 2:00 usiku. Katika mchezo wa kwanza Biashara ilishinda 2-0.

Mpaka sasa bado haijatolewa taarifa rasmi iwapo CAF wameridhia maombi hayo ya kusogeza mbele mchezo huo.




BAADA YA KUTOSWA KWENYE TUZO ZA TFF…MORISSON AIBUKA NA TUZO YAKE BINAFSI…ATAMBA NAYO BALAAH PAMOJA NA SAKHO KUANZA KUKIWASHA MSIMBAZI…MECHI YA KESHO ATAISHIA KUITAZAMIA JUKWANI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply