news

KISA AZAM FC….YANGA YAWABADILISHIA RATIBA MASTAA WAKE..SASA NI MWENDO WA ‘MATEKA TU’….

admin October 25, 2021 11:37 am


KUTAMBUA ugumu wa mchezo ujao dhidi ya Azam FC, umemfanya kocha mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi awabadilishie ratiba ya mazoezi mastaa wake kina Yannick Bangala, Fiston Mayele, Jesus Moloko na wengineo ili kujiandaa na mchezo huo wa Ligi Kuu Bara.

Mchezo huo wa raundi ya nne unatarajiwa kupigwa Jumamosi ijayo na rekodi zinaonyesha timu hizo zinapokutana hakuna dogo na kocha Nabi ameamua kubadili ratiba akiwapelekea wachezaji wake gym na jana kuwapa mapumziko kabla ya leo kurudi asubuhi.

BAADA YA KELELE KUWA NYINGI KUHUSU TUZO ZAO….TFF WAIBUKA NA HILI JIPYA… KUELEKEA MECHI DHIDI YA AZAM….YANGA KUTEST MITAMBO DHIDI YA JKT TANZANIA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply