Home video ANTONIO NUGAZ MZEE WA WAPE SALAMU ANA NENO

ANTONIO NUGAZ MZEE WA WAPE SALAMU ANA NENO

MZEE wa wape Salamu,Antonio Nugaz amesema kuwa ni muhimu kushukuru kwa Mungu kwa kila jambo, Nugaz alikuwa Ofisa Uhamasishaji wa Yanga ambapo mkataba wake ulipomeguka mabosi wa timu hiyo waliweka bayana kwamba hawatamuongezea dili jipya.

 

SOMA NA HII  VIDEO: SIMBA ULAYA AWACHANA WAZEE WA YANGA, AFUNGUKIA ISHU YA JONAS MKUDE