Home video CHEKI NAMNA WACHEZAJI WA SIMBA WALIVYOKUWA WAKIKIMBIZANA

CHEKI NAMNA WACHEZAJI WA SIMBA WALIVYOKUWA WAKIKIMBIZANA


NYOTA wa Simba, Henock Inonga alichofanyiwa na beki Gadiel Michael wakati wa mazoezi ya utimamu wa mwili ilikuwa ni kichekesho kwa wote baada ya Gadiel kumrukia na kuchukua kitambaa kilichokuwa mwilini mwake.


 Ilikiwa hivi Kocha Didier Gomes aliwataka wachezaji wake kukimbizana kwa kupokonyana vitambaa ndipo Gadiel alipofanya ujanja huo na kuwaacha wachezaji na kocha wakicheka.

 Hata zamu ya Bernard Morrison, Ibrahim Ajibu pamoja na Jonas Mkude hawa nao walikuwa wana jambo lao pale Uwanja wa Boko.

 

SOMA NA HII  VIDEO: HAJI MANARA KUACHA KAZI SIMBA, AWAVAA WACHEZAJI