Home video FRANK KOMBA MWAMUZI MTANZANIA ALIYEMSIMAMISHA SALAH AFUNGUKA ILIVYOKUWA

FRANK KOMBA MWAMUZI MTANZANIA ALIYEMSIMAMISHA SALAH AFUNGUKA ILIVYOKUWA


MWAMUZI Frank Komba, mwenye beji ya FIFA amesema kuwa kuchezesha mechi za kimataifa ni jambo jema na linaongeza hali ya kujiamini hivyo fursa ya kuchezesha mchezo mbele ya nyota Mohamed Salah ni kitu kikubwa na ameweza kugundua kwamba nyota huyo ni moja ya wachezaji wenye uharaka ila ilibidi aweze kumsimamisha kwa muda ili kila kitu kiwe sawa.


Ilikuwa ni kwenye mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia kati ya Libya v Misri ya Salah.

 

SOMA NA HII  NENO KUTOKA KWA RAIS WA TFF, KARIA BAADA YA KUPATA UDHAMINI