Home video VIDEO: MZEE WA MAJENEZA AWAPA SOMO MASHABIKI WA YANGA, KUMUUZA KISINDA JAMBO...

VIDEO: MZEE WA MAJENEZA AWAPA SOMO MASHABIKI WA YANGA, KUMUUZA KISINDA JAMBO BAYA

MZEE wa majeneza awapa somo mashabiki wa Yanga,aweka wazi kuwa ni jambo baya kwa nyota wao Tuisila Kisinda kuondoka wakati wakiwa bado wanamhitaji. Pia ameweka wazi kuwa kwa ofa ambayo wamepewa lazima wakubali wakigoma mchezaji atakwenda bure.

 

SOMA NA HII  VIDEO: NYOTA MPYA WA SIMBA KUTOKA MAREKANI AFURAHIA KUCHEZA NDANI YA KIKOSI HICHI