Home video VIDEO: NYOTA MPYA WA SIMBA KUTOKA MAREKANI AFURAHIA KUCHEZA NDANI YA KIKOSI...

VIDEO: NYOTA MPYA WA SIMBA KUTOKA MAREKANI AFURAHIA KUCHEZA NDANI YA KIKOSI HICHI

VICTORIA nyota wa Simba Queens amesema kuwa ni furaha kwake kucheza ndani ya timu hiyo huku akiweka wazi kwamba suala lake la kucheza hapo taarifa zitatolewa.


 Mchezaji huyo pia amewaomba mashabiki wazidi kutoa sapoti kwa timu hiyo ambayo jana Julai 13 ilikabidhiwa taji la ubingwa wa Ligi ya Wanawake.

 

SOMA NA HII  TAZAMA MORRISON,WAWA WALIVYOZINGUANA, SAKHO NA MUGALU WANA PROGRAM