Home video KUMBE SABABU YA SIMBA KUFUNGWA NA YANGA NI LUIS NA CHAMA

KUMBE SABABU YA SIMBA KUFUNGWA NA YANGA NI LUIS NA CHAMA

SHABIKI wa Simba kutoka Dodoma ameweka wazi kuwa alikuwa anaipenda Simba tangu akiwa mdogo na alikuwa anaacha mifungo ili aweze kutazama Simba wakicheza, pia amesema kuwa walishindwa kufunga mbele ya Yanga kwa sababu viungo wawili walikuwa wameondoka ambao ni Luis Miquissone na Clatous Chama.

 

SOMA NA HII  SHABIKI WA YANGA ANAAMINI KWAMBA SIMBA INAFUNGWA NA BIASHARA UNITED LEO