MASHABIKI wa mpira kutoka Mara nao wanaifuatilia kwa ukaribu mechi ya leo Septemba 28 kati ya Biashara United v Simba ambapo shabiki mmoja wa Yanga ameweka wazi kwamba Simba inapoteza kwa kufungwa leo Uwanja wa Karume.