Home video VIDEO: WAKALA WA WACHEZAJI KUMLETA MCHEZAJI MWENYE UWEZO YANGA, AZUNGUMZA NA INJINIA

VIDEO: WAKALA WA WACHEZAJI KUMLETA MCHEZAJI MWENYE UWEZO YANGA, AZUNGUMZA NA INJINIA

IBRAHIM Dinoti wakala kutoka Ghana ambaye ni skauti wa masuala ya mipira amesema kuwa yupo Tanzania kwa muda wa wiki tatu kwa lengo la kuonana na timu mbalimbali na ana wachezaji wengi ambao anawajua ikiwa ni pamoja Daniel Amoah ambaye yupo Azam FC, Stephen Sey ambaye yupo ndani ya Namungo FC.


Kuhusu kuzungumza na Injinia Hersi Said ameweka wazi kuwa kuna jambo ambalo linakuja kwa kuwa wana matumaini ya kuweza kuona jambo hilo linatokea. Kwa wakati huu amesema kuwa kuna mchezaji ambaye ana rekodi nzuri ambaye ni Rashid anacheza Ghana anaweza kuja kucheza ndani ya timu tatu ambazo ni Yanga, Azam na Simba.

 Amzungumzia Bernard Morrison wa Simba kwa kusema kuwa ni miongoni mwa wachezaji wazuri na anapenda namna ambavyo anacheza huku akiongeza kuwa Peter Banda ni mchezaji mzuri.

 

SOMA NA HII  VIDEO: MO NA MANJI USO KWA USO