Home video VIDEO: YANGA YATAJA KILICHOKUWA KINAWAKWAMISHA, HAJI ATABANWA

VIDEO: YANGA YATAJA KILICHOKUWA KINAWAKWAMISHA, HAJI ATABANWA

HAJI Mboto shabiki wa Yanga amesema kuwa Haji Manara ambaye alikuwa ni Ofisa Habari wa Simba anataka kuelezea namna Simba ilivyokuwa inashinda na ana maelezo kwa namna ambavyo viongozi walikuwa wanafanya ili kushinda hivyo akibanwa ataeleza. Kuhusu usajili amesema kuwa wachezaji ni wazuri ambao wamesajiliwa na Yanga.

 

SOMA NA HII  VIDEO: RAIS AAGIZA WASANII KUANZA KULIPWA, VAT YA NYASI BANDIA YAONDOLEWA