Home video SAKHO AZUNGUMZA KISWAHILI AKIWA NA MSHIKAJI WAKE WAWA

SAKHO AZUNGUMZA KISWAHILI AKIWA NA MSHIKAJI WAKE WAWA

KIUNGO wa Simba, Pape Sakho raia wa Senegal amezungumza maneno kadhaa ya kiswahili huku akiwa na mshikaji wake Pascal Wawa raia wa Ivory Coast ambaye naye pia kuna baadhi ya maneno ya kiswahili anayaweza kuyatamka na kuelewa pia. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: MO DEWJI ANAZUNGUMZIA ISHU YA UWEKEZAJI, USAJILI NDANI YA SIMBA