Home video TAZAMA MORRISON,WAWA WALIVYOZINGUANA, SAKHO NA MUGALU WANA PROGRAM

TAZAMA MORRISON,WAWA WALIVYOZINGUANA, SAKHO NA MUGALU WANA PROGRAM


KIKOSI cha Simba kikiwa kwenye maandalizi ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy ya Botswana katika mazoezi ya Uwanja wa Boko wachezaji waliendelea kuwa na utani huku beki Pascal Wawa akionekana kuzinguana kimtindo na kiungo Jonas Mkude pamoja na Bernard Morrison.


 Wachezaji hao walikuwa katika mazoezi kisha wakaanza kupigana mikwara ya hapa na pale kisha maisha yakaendelea kama kawaida.
 
Kwa upande wa nyota Pape Sakho na Chris Mugalu hawa walikuwa wamepewa program yao peke yao kwa kupewa jukumu kwanza la kukimbia pamoja na mazoezi mengine ili waweze kuwa fiti. Simba inatarajiwa kumenyana na Jwaneng Galaxy Oktoba 17 na itaanzia ugenini.

 

SOMA NA HII  VIDEO: KISA SIMBA FEI TOTO APEWA MKOKO MPYA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here